Shirika
la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) yazidi kutoa elimu juu ya hifahdi
ya jamii kwa wananchi mbalimbali ikiwa ni mpango maalamu wa kuwafikia
wanachama wengi zaidi.
Katika mkoa wa Arusha NSSF imetoa elimu kwa wafanyabiashara wadogo wadogo katika soko la Kilombero. Zoezi hilo litaendelea kesho tarehe 19/05 katika eneo la soko la Kilombero.
Katika mkoa wa Arusha NSSF imetoa elimu kwa wafanyabiashara wadogo wadogo katika soko la Kilombero. Zoezi hilo litaendelea kesho tarehe 19/05 katika eneo la soko la Kilombero.
Afisa
Masoko na Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),
Amani Marcel (kushoto), akimkabidhi mwanachama mpya fulana wakati wa
Kampeni maalumu ya kuwafikia wanachama wengi zaidi iliyofanyika katika
Soko la Kilombero Jijini Arusha.
Wananchi
wakiwa katika foleni ya kujiandikisha uanchama wa NSSF wakati wa Kampeni
maalumu ya kuwafikia wanachama wengi zaidi iliyofanyika katika Soko la
Kilombero jijini Arusha.
Afisa wa
NSSF Bi. Irene Mshanga akimwandikisha mwanachama Mpya wakati wa Kampeni
maalumu ya kuwafikia wanachama wengi zaidi inayoendelea katika soko la
Kilombero jijini Arusha.
Afisa Mwandamizi wa Masoko na Uhusiano wa NSSF, Amina
Mbaga Akitoa ufafanuzi kwa Mwanchama mpya wakati wa Kampeni maalumu ya kuwafikia wanachama wengi zaidi inayoendelea katika Soko la Kilombero Jijini Arusha leo. Afisa Masoko na Uhusiano wa NSSF, Anna Nguzo Akitoa ufafanuzi kwa Mwanchama mpya wakati wa Kampeni maalumu ya kuwafikia wanachama
wengi zaidi inayoendelea katika Soko la Kilombero Jijini Arusha leo.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni