Mwenyekiti
wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Martin Mmari akihutubia
mkutano Mkuu wa Wanahisa wa Benki ya CRDB katika ukumbi wa AICC Arusha.
Katibu wa Benki ya CRDB, John Rugambo akizungumza katika Mkutano Mkuu wa Wanahisa. Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei akijibu maswali ya wanahisa.
Katibu wa Benki ya CRDB, John Rugambo akizungumza katika Mkutano Mkuu wa Wanahisa. Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei akijibu maswali ya wanahisa.
Manaibu Wakurugenzi Watendaji wa Benki ya CRDB, Esther Kitoka na Saugata Bandyopadhyay wakifurahia jambo wakati wa mkutano huo.
Mwanahisa akiuliza swali.
Wanahisa wakiwa katika mkuano.
Mwenyekiti
Abeid Mwasajone akiongoza mkutano wa wanahisa. Katikati ni Katibu wa
Benki ya CRDB, John Rugambo na Makamu Mwenyekiti, Steven Mashishanga.
Wanahisa wakifuatilia mkutano.
Wanahisa wakijiandikisha.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei akizungumza na Naibu
Mkurugeni Mtendaji wa benki hiyo, Saugata Bandyopadhyay.
Wanahisa.
Wanahisa wakipiga kura kuwachagua wajumbe wa bodi ya wakurugenzi katika benki ya CRDB.
Wakurugenzi
wa Benki ya CRDB pamoja na mjumbe wa bodi wakijadiliana jambo, Boniface
Muhegi (kulia) wakati wa mkutano Mkuu wa Mwaka wa Wanahisa wa benki
hiyo. Kutoka kushoto ni Tullyesther Mwambapa, Philip Alfred na Anderson
Mlabwa.
Mkurugenzi
wa Masoko Utafiti na Huduma kwa wateja wa Benki ya CRDB, Tullyesther
Mwambapa akibadilishana mawazo na Mkurugenzi wa Benki ya CRDB Mkoa wa
Mbeya, Benson Mwakyusa
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni