Waziri
wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Mwigulu Nchemba akitoa hoja kwa Bunge
kuidhinisha makadirio na matumizi ya fedha ya wizara hiyo kwa mwaka
2016/2017 leo mjini Dodoma huku akishudiwa na mwalimu wake Maria Mnkumbo
(hayupo pichani) aliyemfundisha darasa la kwanza na la pili katika
shule ya msingi Makunda iliyopo wilaya ya Iramba Mkoani Singida.(Picha
na Eleuteri Mangi-MAELEZO, Dodoma)
Waziri
wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Mwigulu Nchemba akiwa katika picha ya pamoja
na mwalimu wake Maria Mnkumbo (katikati) aliyemfundisha darasa la
kwanza na la pili katika shule ya msingi Makunda iliyopo wilaya ya
Iramba Mkoani Singida mara baada ya waziri huyo kutoa hoja ya Bunge
kuidhinisha makadirio na matumizi ya fedha ya wizara yake kwa mwaka
2016/2017 leo mjini Dodoma. Kushoto ni mke wa Waziri Mwigulu Neema.
Mwalimu
msataafu Maria Mnkumbo aliyemfundisha Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi
Mwigulu Nchemba darasa la kwanza na la pili katika shule ya msingi
Makunda iliyopo wilaya ya Iramba Mkoani Singida akiwa ndani ya ukumbi wa
Bunge leo mjini Dodoma.
Waziri
wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Mwigulu Nchemba akiwa na mwalimu wake Maria
Mnkumbo aliyemfundisha darasa la kwanza na la pili katika shule ya
msingi Makunda iliyopo wilaya ya Iramba Mkoani Singida mara baada ya
waziri huyo kutoa hoja ya Bunge kuidhinisha makadirio na matumizi ya
fedha ya wizara yake kwa mwaka 2016/2017 leo mjini Dodoma.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni