Ofisa
Mkuu Mwandamizi Idara ya Masoko na Uhusiano wa Shirika la Taifa la
Hifadhi ya Jamii (NSSF), Salim Kimaro, akizungumza na waandishi wa
habari wakati wa mpambano wa nani zaidi kati ya Msondo na Sikinde
uliofanyika kwenye viwanja vya TCC Chang'ombe jijini Dar esSalaam,
mwishoni mwa wiki na kudhaminiwa na NSSF. (Na Mpiga Picha Wetu)
Ofisa Mwandamizi Masokona Uhusiano
NSSF, Amina Mbaga, (kushoto) akimkabidhi fulana, Jumanne Mnola alipotembelea banda la NSSF wakati wa mpambano wa
nani zaidi kati ya Msondo na Sikinde kudhaminiwa na NSSF.
Ofisa
Mwandamizi Masoko na Uhusiano NSSF, Amina Mbaga, (kushoto), akimkabidhi
fulana mmoja wa wateja wao, Said Ally, alipotembelea banda lao.
Ofisa Mwandamizi Masokona Uhusiano (Nssf), Amina Mbaga akigawa vipeperushi kwa baadhi yawananchi waliotembelea banda lao.
Ofisa
Uhusiano wa NSSF, Faides Mdee, akigawa vipeperushikwa baadhi ya
wananchi waliotembelea banda lao katika tamasha la muziki ambapo bendi
za Msondo na Sikinde zilichuana.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni