Picha mbalimbali zikionyesha matukio mbalimbali yaliyojiri katika 
tukio  la PSPF INTER -COLLEGE BONANZA lililofanyika katika viwanja vya 
chuo cha uhasibu jijini Arusha mwishoni mwa wikii liyopita ambalo 
lilikuwa na lengo la kutoa elimu kwa wanachuo mbalimbali kuhusu mfuko wa
 hifadhi ya jamii wa PSPF(picha na mahmoud ahmad,Arusha
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni