Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wa mkoa wa Morogoro
wakati aliposimama kwa muda mfupi mjini hapo akiwa njiani kuelekea
Dodoma akitoka Dar es salaam May 18, 2016. Wapili kushoto ni Mkuu wa
mkoa huo, Dk. Stephene Kebwe. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni