Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na
wakandarasi nchini wakati wa ufunguzi wa mkutano wa mwaka wa
mashauriano wa Bodi ya Usajili ya Makandarasi (CRB) ambapo aliwataka
makandarasi wazawa kuwa wazalendo na nchi yao ikiwemo kuepuka vitendo
vya rushwa katika maeneo ya Kazi.
Baadhi
ya Makandarasi nchini wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wakandarasi nchini wakati
wa ufunguzi wa mkutano wa mwaka wa mashauriano wa Bodi ya Usajili ya
Makandarasi (CRB).
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na baadhi ya wageni na watendaji wa serikali wakati
akiwasili katika hafla ya uzinduzi wa mkutano wa mwaka wa mashauriano wa
Bodi ya Usajili ya Makandarasi (CRB).
Kaimu
Msajili kutoka Bodi ya Usajili ya Makandarasi (CRB) Rhoben Nkori
akiongea wakati wa hafla ya ufunguzi wa mkutano wa mwaka wa mashauriano
wa Bodi ya Usajili ya Makandarasi (CRB)na kuahidi kuendelea kuwapa
kipaumbele makandarasi wazawa na kukabiliana na changamoto
zinazowakabil.
Mwenyekiti
wa Bodi ya Usajili ya Makandarasi (CRB) Mhandisi Consolata Ngimbwa
akiongea na wakandarasi(hawapo pichani) ambapo aliwataka makandarasi
wazawa kufanya kazi kwa weledi na kusisitiza kuwachukulia hatua kali za
kisheria kwa makandarasi wenye nia ya kuwakwamisha.
Waziri
wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa
akiongea na wakandarasi nchini wakati wa ufunguzi wa mkutano wa mwaka
wa mashauriano wa Bodi ya Usajili ya Makandarasi (CRB) ambapo aliwaahidi
makandarasi nchini kuwasimamia kikamilifu na kuwapa fursa na kazi
mbalimbali za ujenzi nchini.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitembelea
baadhi ya mabanda wakati wa ufunguzi wa mkutano wa mwaka wa mashauriano
wa Bodi ya Usajili ya Makandarasi (CRB).
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitembelea
baadhi ya mabanda wakati wa ufunguzi wa mkutano wa mwaka wa mashauriano
wa Bodi ya Usajili ya Makandarasi (CRB).
Rais
Dk John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Bodi
ya Wakandarasi na viongozi wa mkoa wa Wizara ya Ujenzi wa mkoa wa Dar
es salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa tuzo
kwa wawakilishi wa makampuni mbalimbali waliowezesha kufanyika kwa
mkutano wa mwaka wa mashauriano wa Bodi ya Usajili ya Makandarasi (CRB).
Picha na ikulu
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni