Baadhi
 ya wananchi wakiwa kwenye foleni kwa katika banda la NSSF kwa ajili ya 
kujiunga na mfuko huo katika kampenimaalumu ya kuelimisha na kuandikisha
 wanachama wa Hiari kampeni zilizoanzia Wilayaya Temeke kwenye viwanja 
vya Mwembe Yanga jijini Dar es Salaam. (Picha na John Dande)
 Afisa
 Masoko na Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), 
Aisha Sango (kulia), akiwajazia fomu baadhi ya wanachama wapya 
katikakampeni maalumu ya kuelimisha na kuandikisha wanachama wa Hiari 
kampeni zilizoanziaWilaya ya Temeke kwenye viwanja vya Mwembe Yanga 
jijini Dar es Salaam juzi.Jumla ya wanachama 214 walijiunga na NSSF.
 Baadhi
 ya wananchi wakiwa kwenye foleni katika banda la NSSF kwa ajili ya 
kujiunga na NSSF katika kampeni maalumu ya kuelimisha na kuandikisha 
wanachama wa Hiari kampeni zilizoanzia Wilaya ya Temeke kwenye viwanja 
vya Mwembe Yanga jijini Dar es Salaam.
 Afisa
 Masoko na Uhusiano wa NSSF, Amani Marcel (kushoto) akiwakabidhi fulana 
wanachama wapya, Emmanuel Joseph na Prisca Mwamsojo katika kampeni 
maalumu ya kuelimisha na kuandikisha wanachama wa Hiari kampeni 
zilizoanzia Wilaya ya Temeke kwenye viwanja vya Mwembe Yanga jijiniDar 
es Salaam juzi. Jumla ya wanachama 214 waliandikishwa.
 Ofisa
 Msajili wa Shirika laTaifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Grace Mutegeki 
(kushoto) akiwaelekeza jambo baadhi ya wanachama wapya waliojiunga na 
mfuko huo katika kampeni maalumu ya kuelimisha na kuandikisha wanachama 
wa Hiari kampeni zilizoanzia Wilaya ya Temeke kwenye viwanja vya Mwembe 
Yanga jijini Dar es Salaam
 Afisa
 Masoko na Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), 
Aisha Sango akimjazia fomu ya kujiunga na NSSF mchuuzi wa mayai wakati 
wa kampeni maalumu ya kuelimisha na kuandikisha wanachama wa Hiari 
kampeni zilizoanzia Wilaya ya Temeke kwenye viwanja vya Mwembe Yanga 
jijini Dar es Salaam juzi. Jumla ya wanachama wapya 214 walijiunga na 
NSSF.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni