Madawa na Maji vilivyokabidhiwa na Balozi wa Kuwait Nchini TanzaniaBalozi Jasem Al-Najem, kwa Wizara ya Afya kwa ajili ya Kambi za Kipindupindu Zanzibar.
Balozi Jasem Al-Najem, akiwasili katika viwanja vya Wizara ya Afya Zanzibar kwa ajili ya kukabidhi Msaada wa Madawa na Maji.
Balozi wa Kuwait Nchini Tanzania Balozi Jasem
Al-Najem, akisalimiana na Daktari Dhamana wa Kanda ya Unguja Dk Fadhil
Mohammed wakati wa hafla ya kukabidhi Madawa na Maji kwa ajili ya Kambi
za Kipindupindu Zanzibar.
Balozi Jasem
Al-Najem, akizungumza na Viongozi wa Wizara ya Afya Zanzibar kabla ya
kuaza kwa hafla ya kukabidhi Madawa na Maji kwa Ajili ya Kambi za
Kipindupindu Zanzibar.
Balozi Jasem
Al-Najem, akisoma bango lilliloandikwa ujumbe wa hafla hiyo kwa
viongozi wa Wizara ya Afya Zanzibar kabla ya kuaza hafla hiyo ya
kukabidhi madawa na maji. kushoto Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mhe
Harusi Said na Naibu Katibu Mkuu Halima Maulid.
Balozi wa Kuwait Nchini Tanzania Jasem
Al-Najem, akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Wizara ya Afya
Zanzibar, kulia Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Harusi Said, Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bi Halima Maulid na kushoto kwa Balozi
Daktari Dhamana wa Kanda ya Unguja Dk Fadhil Mohammed na Mkurugenzi
Kinga Wizara ya Afya Zanzibar. Dk Mohammed Dahoma.
Balozi
wa Kuwait Nchini Tanzania Balozi Jasem Al-Najem, akikabidhi msaada wa
Dawa kwa Naibu Waziri wa Wizara ya Afya Zanzibar Mhe. Harusi Said,
wakishuhudia kulia Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya Bi Halima Maulid na
kushoto Daktari Dhamana Kanda ya Unguja Dk Fadhil Mohammed.
Balozi wa Kuwait Nchini Tanzania Jasem
Al-Najem, akimkabidhi dawa Naibu Waziri Wizara ya Afya Zanzibar, Mhe.
Harusi Said, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bi Halima Maulid na
kushoto kwa Balozi Daktari Dhamana wa Kanda ya Unguja Dk Fadhil Mohammed
na Mkurugenzi Kinga Wizara ya Afya Zanzibar. Dk Mohammed Dahoma.
Naibu
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar Bi Halima Maulid akimkabidhi Madawa
Daktari Dhamana wa Kanda ya Unguja Dk Fadhil Mohammed, baada ya
kukabidhiwa na Balozi wa Kuwait Nchini Tanzania.
Balozi
wa Kuwait Nchini Tanzania Balozi Jasem Al-Najem, akizungumza baada ya
kukabidhi msaada huo wa dawa kwa Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mhe
Harusi Said.
Balozi
wa Kuwait Nchini Tanzania Balozi Jasem Al-Najem, akizungumza baada ya
kukabidhi msaada huo wa dawa kwa Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mhe
Harusi Said.
Daktari
Dhamana wa Kanda ya Unguja Dk Fadhil Mohammed akitowa shukrani kwa
Balozi wa Kuwait kwa msaada wao kwa Kambi ya Kipundupindu Zanzibar
wakati wa hafla ya kukabidhi Madawa na Katuni za Majili kwa matumizi ya
Kambi hizo.
Balozi
wa Kuwait Nchini Tanzania Balozi Jasem Al-Najem, akiwa katika picha ya
pamoja na Viongozi wa Wizara ya Afya Zanzibar nje ya Jengo la Wizara
Mnani Mmmoja.
Imetayarishwa na Othman Mapara.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni