SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA KAMISHINA MKUU WA SEKRETARIETI YA MAADILI JAJI KAGANDA

gai1  
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akisalimiana na Kamishna Mkuu wa Sekretarieti ya Maadili, Jaji Salome Kaganda wakati alipofanya mazungumzo naye ofisini kwake Mjini Dodoma.
gai1
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akisalimiana na Kamishna Mkuu wa Sekretarieti ya Maadili, Jaji Salome Kaganda wakati alipofanya mazungumzo naye ofisini kwake Mjini Dodoma.
gai2
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akizungumza na Kamishna Mkuu wa Sekretarieti ya Maadili, Jaji Salome Kaganda ofisini kwake Mjini Dodoma.
gai4
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akizungumza na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Simon Msanjila ofisini kwake Mjini Dodoma.
gai3
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akimsikiliza Kamishna Mkuu wa Sekretarieti ya Maadili, Jaji Salome Kaganda wakati alipozungumza naye ofisini kwake Mjini Dodoma.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni