Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii(NSSF), Prof. Godius Kahyarara (katikati waliokaa), Mkurugenzi wa Uendeshaji wa NSSF, Crescentius Magori (kulia) na Meneja Kiongozi Masoko na Uhusiano wa NSSF, Eunice Chiume (kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa NSSF nje ya Ofisi ya Mkoa wa Dodoma wakati wa shereheza Sikukuu za Mei Mosi zilizofanyika kwenye Uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma.
 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii(NSSF), Prof. Godius Kahyarara (kulia), Mkurugenzi wa Uendeshaji wa NSSF,
Crescentius Magori na Meneja Kiongozi Masoko na Uhusiano wa NSSF, Eunice Chiume na Meneja wa NSSF Mkoa wa Dodoma, Rehema Chuma wakati wa sherehe za Sikukuu za Mei Mosi zilizofanyika kwenye Uwanja wa Jamhuri mkoaniDodoma.
 Rais
 John Magufuli (wa pili kushoto) akishiriki kuimba wimbo wa mshikamano 
na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (kulia), Rais wa Shirikisho la vyama vya 
WafanyakaziTanzania (TUCTA), Gratian Mukoba (wa pili kulia) na Waziri wa
 nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na Watu Wenye Ulemavu Jenista Mhagama wakati wa kilele cha sherehe za Sikukuu za MeiMosi zilizofanyika kitaifa mkoani Dodoma
 Wafanyakazi
 wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), wakipita kwa maandamano
 mbele ya mgeni rasmi Rais John Magufuli (hayupo pichani), katika kilele
 cha Sherehe za Mei Mosi zilizofanyika kitaifa mkoaniDodoma.Jamii (NSSF), Prof. Godius Kahyarara (kulia), Meneja wa NSSF Mkoa wa Dodoma, Rehema Chuma, Meneja Kiongozi Masoko na Uhusiano wa NSSF,Eunice Chiume na Mkurugenzi wa Uendeshaji wa NSSF, Crescentius Magori wakitoka baada ya kumalizika kwa shereheza Sikukuu ya Mei Mosi iliyofanyika kwenye Uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni