Mkuu
wa Mko wa Kilimanjaro,Said Mecky Saidick akiwa ameongozana na Kaimu
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na usafi wa Mazingira mjini Moshi
(MUWSA) John Ndetico (mwenye tai) alipofanya ziara katika mamlaka hiyo .
Kaimu
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na usafi wa Mazingira mjini Moshi
(MUWSA) John Ndetico akitoa taarifa ya Mamlaka hiyo kwa Mkuu wa mkoa wa
Kilimanjaro Said Mecky Sadick alipotembelea ofisi za MUWSA.
Baadhi
ya Viongozi wa Serikali pamoja na Wakuu idara katika Mamlaka ya maji
safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi (MUWSA) wakisikiliza kwa makini
taarifa iliyokuwa ikitolewa.
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro na viongozi wengine wakiwa katika chanzo cha maji cha Nsere .
Chanzo cha Maji cha Nsere ambacho kiwango cha maji kinatajwa kushuka kutoka lita za ujazo Milioni 12 hadi Milioni 9.5.
Mkuu wa mkoa Saidi Mecky Sadick akitembelea maeneo ya chanzo hicho.
Mkuu wa Mkoa Said Mecky Sadick na viongozi wengine wakiwa katika chanzo cha maji cha Shiri
Meneja
ufundi wa Mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira mjini Moshi(MUWSA)
Mhandisi Patrick Kibasa akitoa maelezo ya chanz hicho kwa Mkuu wa mkoa
Said Mecky Sadick na ujumbe wake.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro ,Said Mecky Sadick na ujumbe wake wakitembelea maeneo mbalimbali ya chanzo hicho.
Mkuu wa mkoa Said Mecky Sadick akitia saini katika kitabu cha wageni alipotembelea chanzo cha maji cha Shiri.
Mkuu wa Mko wa Kilimanjaro Said Mecky Sadick akitembelea kisima cha maji cha Mawenzi.
Kisima cha Maji cha Mawenzi.
Tani la Maji lililopo katika eneo la Kisima cha Mawenzi.
Mkuu
wa Mkoa akiwa katika jengo la kuendeshea mitambo ya visima viwili vipya
vya mamlaka ya maji safi na usafi wa Mazingira mjini Moshi (MUWSA)
vilivyopo eneo la KCMC.
Ujumbe wa mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ukiwa katika moja ya visima vya zamani ambacho kinataraji kufanyiwa ukarabati.
Meneja
Ufundi wa Mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira mjini Moshi
(MUWSA) akitoa maelezo katika tanki la maji la Longuo ambalo litatumika
kwa ajili ya kuhidhi maji yatakayotumika kwa wakazi wa Kiborironi na
vijiji vya Korini na Kikarara.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni