Mwenyekiti
wa Jukwaa la Ujasiriamali Jamii Tanzania (TASEF) Bw. Erick Chrispin
akizungumza wakati wa mkutano wa Jukwaa hilo unaofanyika kila mwisho wa
mwezi jana jijini Dar es Salaam. Mada kuu katika mjadala huo ilikuwa ni
“Jinsi gani Asasi zinawezakutumia Ujasiriamali wa Kijamii katika kuibua
na kuhakikisha inafikia malengo yake”
Afisa
Mtendaji Mkuu wa Asasi ya Open Mind Tanzania (OMT) ambaye pia ni
Mratibu wa Programu ya Kukuza Ajira zenye staha jijini Dar es
Salaam(YEID) Bw. Dominic Ndunguru akiwasilisha maada kuhusu misingi ya
ujasiriamali wakati wa mjadala kuhusu “Jinsi gani Asasi zinawezakutumia
Ujasiriamali wa Kijamii katika kuibua na kuhakikisha inafikia malengo
yake” jana jijini Dar es Salaam. Mjadala huo uliratibiwa na Jukwaa la
Ujasiriamali Jamii Tanzania (TASEF).
Meneja
Matukio na Ushirikiano wa Asasi ya Buni Innovation Hub Bi. Maryam
Mgonja akielezea kuhusu namna asasi yao inavyofanya kazi wakati wa
mjadala kuhusu “Jinsi gani Asasi zinawezakutumia Ujasiriamali wa Kijamii
katika kuibua na kuhakikisha inafikia malengo yake” jana jijini Dar es
Salaam. Mjadala huo uliratibiwa na Jukwaa la Ujasiriamali Jamii Tanzania
(TASEF).
Afisa
Mtendaji Mkuu wa Sema Tanzania Bw. Kiiya Joel Kiiya akifafanua jambo
wakati wa mjadala kuhusu “Jinsi gani Asasi zinawezakutumia Ujasiriamali
wa Kijamii katika kuibua na kuhakikisha inafikia malengo yake” jana
jijini Dar es Salaam. Mjadala huo uliratibiwa na Jukwaa la Ujasiriamali
Jamii Tanzania (TASEF).
Mmoja
wa washiriki wa Mjadala kuhusu “Jinsi gani Asasi zinawezakutumia
Ujasiriamali wa Kijamii katika kuibua na kuhakikisha inafikia malengo
yake” ambayepia ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Bi.
Liliani Kimaro akiwasilisha hoja walizozipata wakati wa majadiliana
kwenye kundi lao jana jijini Dar es Salaam. Mjadala huo uliratibiwa na
Jukwaa la Ujasiriamali Jamii Tanzania (TASEF).
Mmoja
wa washiriki wa Mjadala kuhusu “Jinsi gani Asasi zinawezakutumia
Ujasiriamali wa Kijamii katika kuibua na kuhakikisha inafikia malengo
yake akichangia mada wakati wa majadiliano jana jijini Dar es Salaam.
Mjadala huo uliratibiwa na Jukwaa la Ujasiriamali Jamii Tanzania
(TASEF).
Baadhi
ya washiriki wa Mjadala kuhusu “Jinsi gani Asasi zinawezakutumia
Ujasiriamali wa Kijamii katika kuibua na kuhakikisha inafikia malengo
yake” wakifuatilia mada wakati wa majadiliano jana jijini Dar es Salaam.
Mjadala huo uliratibiwa na Jukwaa la Ujasiriamali Jamii Tanzania
(TASEF).
Mmoja
wa washiriki wa Mjadala kuhusu “Jinsi gani Asasi zinawezakutumia
Ujasiriamali wa Kijamii katika kuibua na kuhakikisha inafikia malengo
yake”. Akifafanua namna ujasiriamali unavyo tegemea zaidi kuanza na wazo
badala ya mtaji jana jijini Dar es Salaam. Mjadala huo uliratibiwa na
Jukwaa la Ujasiriamali Jamii Tanzania (TASEF). Picha na: Frank Shija,
WHUSM.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni