Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akipokea maandamano ya Wafanyakazi mbali mbali wa Taasisi za Serikali na
Binafsi, wakipita mbele yake wakati wa sherehe za siku ya Wafanyakazi
Duniani katika viwanja vya Ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja leo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akipokea maandamano ya Wafanyakazi mbali mbali wa Taasisi za Serikali na
Binafsi,(pichani) Vijana waliobeba bango kutoka Ofisi ya Makamo wa Pili
ya Rais akipita mbele yake wakati wa sherehe za sikuya Wafanyakazi
Duniani katika viwanja vya Ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja leo.
Wafanyakazi
wakipita mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani) na bango lao linalotoa
ujumbe"IDARA YA FIDIA NI UTI WA MGONGO WA MAISHA YA WAFANYAKAZI NI
MUHIMU KUANZISHWA" wakati alipokuwa akipokea maandamano ya Wafanyakazi
wa Taasisi mballi mbali za Serikali na Binafsi katika sherehe za siku ya
Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo viwanja vya Ukumbi wa Salama
Bwawani Mjini Unguja
Wafanyakazi
wakimpungia mkono Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani) wakati alipokuwa akipokea
maandamano ya Wafanyakazi wa Taasisi mballi mbali za Serikali na Binafsi
katika sherehe za siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo viwanja
vya Ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja.
Baadhi
ya Viongozi na Wafanyakazi wa Taasisi za Serikali na Binafsi wakiwa
katika sherehe za siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo katika
Ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja leo mgeni rasmin akiwa Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.
Baadhi
ya Vingozi na Wafanyakazi wa Taasisi mbali mbali za Serikali na Binafsi
wakiwa katika sherehe za siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo
katika Ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja, mgeni rasmin akiwa Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.
Baadhi
ya Vingozi na Wafanyakazi wa Taasisi mbali mbali za Serikali na Binafsi
wakiwa katika sherehe za siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo
katika Ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja,mgeni rasmin akiwa Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.
Baadhi
ya Vingozi na Wafanyakazi wa Taasisi za Serikali na Binafsi wakiwa
katika sherehe za siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo katika
Ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja leo mgeni rasmin akiwa Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) pamoja na Viongozi mbali mbali wakinyanyua mikono juu
kuashiria Mshikamano wakati wa sherehe za kilele cha siku ya Wafanyakazi
Duniani,ambazo sherehe zimewajumuisha mbali mbali wa Taasisi za
Serikali na Binafsi katika Ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja leo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimakabidhi zawadi Musssa Yussuf wa ZSSF Laki Sitafedha taslim akiwa
mfanyakazi Bora Chama cha ZAFICOWV katika sherehe za Siku ya wafanyakazi
Duniani Zilizofanyika leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimakabidhi zawadi Bi.Asya Rajab Said fedha taslim laki tano,kutoka
Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi akiwa mfanyakazi Bora
Chama cha ZUPHE katika sherehe za Siku ya wafanyakazi Duniani
Zilizofanyika leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimakabidhi zawadi Nd,Yunus Sose Hassan fedha taslim laki tano kutoka
Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi akiwa mfanyakazi Bora
Chama cha ZUPHE katika sherehe za Siku ya wafanyakazi Duniani
Zilizofanyika leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akitoa hutuba yake kwa Wafanyakazi mbali mbali wa Taasisi za Serikali na
Binafsi pamoja na Wananchi wakati wa Kilele cha siku ya Wafayakazi
Duniani sherehe zilizofanyika Ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja leo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akitoa hutuba yake kwa Wafanyakazi mbali mbali wa Taasisi za Serikali na
Binafsi pamoja na Wananchi wakati wa Kilele cha siku ya Wafayakazi
Duniani sherehe zilizofanyika Ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja
leo.Picha na Ikulu.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni