Rais wa
Muungano wa Comoros Kanali Azali Assoumani Boinakheri (kulia) alipokuwa
akiapishwa na Jaji wa Mahkama ya Katiba Loutfi Soulaimaine (wa tatu
kushoto) katika uwanja wa Mpira Mjini Ngazija nchini Comoro leo
kufuatia ushindi alioupata baada ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika April 10
/2016 na uchaguzi wa marudio Mei,11 mwaka huu
Rais wa
Muungano wa Comoros Kanali Azali Assoumani Boinakheri alipokuwa
akiapishwa na Jaji wa Mahkama ya Katiba Loutfi Soulaimaine (hayupo
pichani ) katika uwanja wa Mpira Mjini Ngazija nchini Comoro leo
kufuatia ushindi alioupata baada ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika April 10
/2016 na uchaguzi wa marudio Mei,11 mwaka huu
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein
(katikati) akiwa na Viongozi mbali mbali alipomuwakilisha Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli katika sherehe
ya kuapishwa Rais mpya wa Muungano wa Comoro Kanali Azali Assoumani
Boinakheri, baada ya kushinda katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika April 10
/2016 na uchaguzi wa marudio Mei,11 mwaka huu, katika Uwanja wa Mpira
Mjini Ngazija nchini Comoro leo
Rais wa
Muungano wa Comoros Kanali Azali Assoumani Boinakheri (kulia) alipokuwa
akiapishwa na Jaji wa Mahkama ya Katiba Loutfi Soulaimaine (wa pili
kushoto) katika uwanja wa Mpira Mjini Ngazija nchini Comoro leo
kufuatia ushindi alioupata baada ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika April 10
/2016 na uchaguzi wa marudio Mei,11 mwaka huu
Rais
mstaafu wa Muungano wa Comoro Dkt.Ikulilou Dhoinine akimkabidhi Bendera
ya Nchi kama ishara ya kumakabidhi madaraka Rais Mpya wa Nchi hiyo
Kanali Azali Assoumani Boinakheri (kushoto) baada ya kushinda katika
Uchaguzi Mkuu uliofanyika April 10 /2016 na uchaguzi wa marudio Mei,11
mwaka huu,sherehe ya kuapishwa Rais huyo ilifanyika leo katika Uwanja wa
Mpira Mjini Ngazija nchini Comoro
Wageni
mbali mbali na Viongozi wa nchi ya Comoro wakiwa katika sherehe ya
kuapishwa Rais Mpya wa Nchi hiyo Kanali Azali Assoumani Boinakheri
(kushoto) baada ya kushinda katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika April 10
/2016 na uchaguzi wa marudio mey 11 mwaka huu,sherehe ya kuapishwa Rais
huyo ilifanyika leo katika Uwanja wa Mpira Mjini Ngazija nchini
Comoro,[picha na Ikulu.]26 Mei 2016.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni