Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli,
akikata utepe kuzindua rasmi, Jengo la Kitegauchumi la Mfuko wa
Pensheni (PPF) lililopo Mtaa wa Korido Jijini Arusha leo Mei 9, 2016. Wa
pili (kushoto) ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia
Sera, Uratibu na Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu, Mhe.
Jenister Mhagama, (kushoto) ni Meya wa jiji la Arusha, Calist Lazaro (wa
kwanza kutoka kulia) ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya PPF,
Ramadhan Kijjah, Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William Erio na Waziri wa Fedha
na Mipango, Dkt. Phillip Mpango. Picha zote na Mafoto Blog
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli,
akimpongeza Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, William Erio,
baada ya kuweka Jiwe la Msingi la uzinduai wa Jengo la Kitegauchumi la
Mfuko huo lililopo Mtaa wa Korido Jijini Arusha leo Mei 9, 2016.
Jengo hilo lililozinduliwa leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli,
akihutubia wakazi wa arusha na wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF wakati
alipozindua rasmi, Jengo la Kitegauchumi la Mfuko huo (PPF) lililopo
Mtaa wa Korido Jijini Arusha leo Mei 9, 2016.
Sehemu ya wadau wakimsikiliza Mhe. Rais Dkt. Magufuli.....
Baadhi ya wafanyakazi wa PPF Kanda yas Arusha wakimsikiliza Mhe Rais wakati akihutubia.
Sehemu ya wananchi wa Jiji la Arusha wakimsikiliza Mhe. Rais Dkt. Magufuli.....
Wananchi wakimshangilia Mhe Rais wakati akihutubia.....
Sehemu ya wananchi wakimsikiliza Mhe Rais.
Baadhi ya Wakurugenzi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF wakimsikiliza Mhe Rais wakati akihutubia.
Baadhi ya Wajumbe wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Pensheni PPF na
Wakurugenzi wa Mfuko wa huo wakimsikiliza Mhe Rais wakati akihutubia.
Baadhi ya viongozi na wadau wa Mfuko huo na Meya wa Jiji la Arusha Calist Lazaro (kushoto) wakimsikiliza Mhe Rais.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli,
akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi PPF, Ramadhan Kijjah,
wakati alipowasili kwenye Viwanja vya Jengo la Kitegauchumi la Mfuko wa
Pensheni PPF lililopo Mtaa wa Korido jijini Arusha kwa ajili ya
uzinduzi wa jengo hilo leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli,
akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William Erio, wakati
alipowasili kwenye Viwanja vya Jengo la Kitegauchumi la Mfuko wa
Pensheni PPF lililopo Mtaa wa Korido jijini Arusha kwa ajili ya uzinduzi
wa jengo hilo leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli,
akisalimiana na baadhi ya Wadau wa Mfuko wa Pensheni PPF, wakati
alipowasili kwenye Viwanja vya Jengo la Kitegauchumi la Mfuko wa
Pensheni PPF lililopo Mtaa wa Korido jijini Arusha kwa ajili ya uzinduzi
wa jengo hilo leo.
Wakifurahia baada ya uzinduzi huo....
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli,
akisalimiana na Meneja wa PPF Kanda ya Arusha, Onesmo Ruhasha, wakati
alipowasili kwenye Viwanja vya Jengo la Kitegauchumi la Mfuko wa
Pensheni PPF lililopo Mtaa wa Korido jijini Arusha kwa ajili ya uzinduzi
wa jengo hilo leo.
Picha ya pamoja baada ya uzinduzi huo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli,
akisalimiana na Meneja Uhusiano na Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa PPF,
Lulu Mengele, wakati alipowasili kwenye Viwanja vya Jengo la
Kitegauchumi la Mfuko wa Pensheni PPF lililopo Mtaa wa Korido jijini
Arusha kwa ajili ya uzinduzi wa jengo hilo leo.
Picha ya pamoja baada ya uzinduzi huo.
Viongozi wakiwa meza kuu wakiimba wimbo wa Taifa
Wadau wakiimba wimbo wa Taifa
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni