TAASISI YA MUZDALIFA ZANZIBAR YATOA MSAADA WA VYAKULA NA MADAWA WENYE THAMANI YA SH/=MILION 10 KWA WAHANGA WA MAFURIKO NA KIPINDUPINDU
posted on
Mwenyekiti
wa taasisi ya Muzdalifa Shekh Abdalla Hadhar Abdalla akimkabidhi Mchele
Afisa msaidizi wa kambi ya wahanga wa mafuriko Makame Khatibu Makame
iliopo Skuli ya Mwanakwerekwe C Mjini Zanzibar.
Afisa
msaidizi wa Kambi ya Mafuriko iliyopo Skuli ya Mwanakwerekwe C Makame
Khatib Makame, akitoa shukrani kwa Mwenyekiti wa Taasisi ya Muzidalifa
Shekh Abdalla Hadhar Abdalla kwa msaada waliowatia.
Baadhi ya Misaada mbalimbali iliyotolewa na Taasisi ya Muzdalifa.
Mwenyekiti
wa Taasisi ya Muzdalifa Shekh Abdalla Hadhar Abdalla akimkabidhi Box la
dawa Daktari dhamana kanda ya Unguja Fadhili Moh’d, katika Kambi ya
kipindupindu iliopo Mtaa wa Chumbuni Zanzibar.
Daktari dhamana kanda ya Unguja Fadhil Moh’d, akitoa shukurani kwa msaada waliopatiwa na Taasisi ya Muzdalifa
Baadhi ya Madawa mbalimbali iliyotolewa.Picha na Abdallah Omar-Maelezo Zanzibar.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni