Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Mwenyekiti wa Taifa wa Bodi ya taifa
ya Parole, Augustine Mrema baada ya kuembelea Gereza la Msalato kwenye
Manispaa ya Dodoma Oktoba 5, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Askari Magereza baada ya kutembelea
Gereza la Msalato kwenye Manispaa ya Dodoma Oktoba 5, 2016. (Picha na
ofisi ya Waziri Mkuu)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni