NMB YAMWAGA MISAADA KWA HOSPITALI YA LITEMBO


 Kaimu mganga mkuu wa hospitali ya Litembo inayomilikiwa na kanisa katoriki jimbo la  Mbinga Dkt Maurus Ndomba kushoto akipokea moja ya shuka 46   kutoka kwa meneja wa Benki ya Nmb tawi la Litembo Kennedy Chinguile kulia, ili zisaidie  katika hospitali hiyo,katikati  ni katibu wa afya Anna Mwenda.
 katibu wa Hospitali ya  Litembo Anna Mwenda kulia,akizungumza  leo kabla ya kupokea msaada wa shuka 46 kutok kwa benki ya NMB Tawi la Litembo wilayani Mbinga,wa pili kulia meneja wa NMB Litembo Kennedy Chinguile na wa tatu kaimu mganga mkuu wa hospitali hiyo Dkt Maurus Ndomba.
 Katibu wa hospitali ya Litembo wilayani Mbing Anna Mwenda kulia akimshukuru mmoja kati ya wafanyakazi wa BENKI  ya Nmb tawi la Litembo baada ya kupokea msaada wa shuka 46 kwa jili y amtumizi katika hospitali hiyo.
 Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya Nmb tawi la Litembo wilayani Mbinga wakitoa misaada mbalimbali kwa wagonjwa  waliolazwa katika hopitali ya Litembo wilayani Mbinga.
 Mmoja wa wagonjwa aliylezw katika hospitali ya Litembo   wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma  Folkwati Komba(4)akimwamkia  mkono mfanyakazi wa benki ya Nmb ambaye hakufahamika jina lake mara baada ya benki hiyo kutoa msaada wa mashuka na vitu mbalimbali.
 Wafanyakazi wa Nmb tawi la Litembo wakito misaada kwa mgonjwa aliyelezwa katika hospitali ya Litembo wilayani Mbinga.
 Meneja wa benki ya Nmb tawi la Litembo wilaya ya mbinda Kennedy Chinguile akimpa pole mtoto Folkwati Komba aliyelazwa katika hospitali ya Litembo ambapo benki hiyo imetoa msaada wa shuka 46.
 Meneja wa Benki ya nmb tawi la Litembo wilaya ya Mbinga katika mkoa wa Ruvuma Kennedy Chinguile akimfariji    mgonjwa aliyelezwa katika hospitali ya Litembo wilaya ya Mbinga.
Katibu wa hospitali ya Litembo wilayani Mbing Anna Mwenda kulia akishukuru  wafanyakazi wa BENKI  ya Nmb tawi la Litembo baada ya kupokea msaada wa shuka 46 kwa ajili ya mtumizi katika hospitali hiyo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni