Katibu
Mtendaji wa Shirika lisilo la kiserikali la ANGONET lenye makao makuu
jijini Arusha, Petter Bayo (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari
(hawapo pichani) juu ya masuala ya lishe na kuitaka serikali iweke
vipaumbele katika lishe ili kutokomeza matatizo ya udumavu na utapiamlo.
Katikati ni Mratibu wa Angonet, Petro Ahham na kulia ni Jovitha Mlay
mwanachama wa shirika hilo.(Picha na Mahmoud Ahmad).
Mratibu
wa Angonet ,Petro Ahham akifafanua juu ya Mkakati wa Lishe wa taifa wa
July 2011/12 hadi Juni 2015/16 kwa waandishi wa Habari (hawapo pichani)
katika mkutano na waandishi juu ya hali ya lishe nchini na namna ya
kuhamasisha lishe ili kuondokana na udumavu na utapiamlo, Kushoto
ni Katibu Mtendaji wa shirika lisilokuwa la kiserikali (ANGONET), Petter
Bayo.(Picha na Mahmoud Ahmad).
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni