| Mtoto mkazi wa Rupindu wilaya ya Ludewa mkoani Njombe akicheza kando ya ziwa nyasa wakati mawimbi makali yakipiga |
| Watoto wakifurahia kuchafuka kwa ziwa nyasa kwa kucheza katika mawimbi |
| Mtoto mkazi wa Rupingu akitoka kuchota maji katika kina kirefu cha ziwa Nyasa baada ya ziwa kuchafuka na hivyo maji ya pembeni kuwa na uchafu mwingi |
| Wakazi wa Rupingu Ludewa wakitazama abiria wakishuka katika boti baada ya ziwa kuchafuka |
| Boti akipita katika mawimbi makali |
| Bw Luciana Mbosa akitazama ziwa nyasa baada ya kuchafuka |
| Wasafiri wakishuka katika boti kupanda mtumbwi |
| Wasafiri wakishuka katika boti kuhairisha safari baada ya ziwa nyasa kuchafuka (picha na MatukiodaimaBlog) |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni