Kiongozi
 wa msafara Bw. Wiseman Mwakyusa Luvanda(25) (kulia) na John Mwaipyana 
(27)  Wapanda baiskeli wawili kati ya wanne waliofunga safari kwa 
 baiskeli kwa kilomita 830 kutoka Mbeya kuelekea Dar es salaam kwa 
madhumuni ya kumpongeza Rais jakaya Mrisho kikwete kwa uongozi bora 
ulioleta maendeleo na mabadiliko mengi katika miaka yake 10 ya uongozi 
wakiwasili kwenye viwanja vya Ikulu Dar es salaam Jumapili Juni 28, 
2015. wapanda baiskeli wenzao wawili wamerudi jijini Mbeya kwa ajili ya 
Uzinduzi wa Albamu yao ya muziki kuhamasisha kuhusu mambo muhimu ya 
maendeleo ikiwa ni pamoja na kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura.
Rais
 Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na  Bw. Wiseman Mwakyusa 
Luvanda(2) mmoja wa Wapanda baiskeli wawili kati ya wanne waliofunga 
safari kwa  baiskeli kwa kilomita 830 kutoka Mbeya kuelekea Dar es 
salaam kwa madhumuni ya kumpongeza Rais jakaya Mrisho kikwete kwa 
uongozi bora ulioleta maendeleo na mabadiliko mengi katika miaka yake 10
 ya uongozi kwenye viwanja vya Ikulu Dar es salaam Jumapili Juni 28, 
2015. wapanda baiskeli wenzao wawili wamerudi jijini Mbeya kwa ajili ya 
Uzinduzi wa Albamu yao ya muziki kuhamasisha kuhusu mambo muhimu ya 
maendeleo ikiwa ni pamoja na kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura.
Rais
 Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na  Bw. John Mwaipyana (27) 
 mmoja wa Wapanda baiskeli wawili kati ya wanne waliofunga safari kwa 
 baiskeli kwa kilomita 830 kutoka Mbeya kuelekea Dar es salaam kwa 
madhumuni ya kumpongeza Rais jakaya Mrisho kikwete kwa uongozi bora 
ulioleta maendeleo na mabadiliko mengi katika miaka yake 10 ya uongozi 
kwenye viwanja vya Ikulu Dar es salaam Jumapili Juni 28, 2015. wapanda 
baiskeli wenzao wawili wamerudi jijini Mbeya kwa ajili ya Uzinduzi wa 
Albamu yao ya muziki kuhamasisha kuhusu mambo muhimu ya maendeleo ikiwa 
ni pamoja na kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura.
Rais
 jakaya Mrisho Kikwete akimwangalia Bw. John Mwaipyana (27)  akionesha 
uwezo wake wa kucheza sarakasi kwa baiskeli aina ya Phoenix. yeye mmoja 
wa Wapanda baiskeli wawili kati ya wanne waliofunga safari kwa  baiskeli
 kwa kilomita 830 kutoka Mbeya kuelekea Dar es salaam kwa madhumuni ya 
kumpongeza Rais jakaya Mrisho kikwete kwa uongozi bora ulioleta 
maendeleo na mabadiliko mengi katika miaka yake 10 ya uongozi kwenye 
viwanja vya Ikulu Dar es salaam Jumapili Juni 28, 2015. wapanda baiskeli
 wenzao wawili wamerudi jijini Mbeya kwa ajili ya Uzinduzi wa Albamu yao
 ya muziki kuhamasisha kuhusu mambo muhimu ya maendeleo ikiwa ni pamoja 
na kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura
Rais
 Jakaya Mrisho Kikwete akipata picha ya kumbukumbu na Bw. Wiseman 
Mwakyusa Luvanda(25) (kushoto ) na John Mwaipyana (27)  Wapanda baiskeli
 wawili kati ya wanne waliofunga safari kwa  baiskeli kwa kilomita 830 
kutoka Mbeya kuelekea Dar es salaam kwa madhumuni ya kumpongeza Rais 
jakaya Mrisho kikwete kwa uongozi bora ulioleta maendeleo na mabadiliko 
mengi katika miaka yake 10 ya uongozi wakiwasili kwenye viwanja vya 
Ikulu Dar es salaam Jumapili Juni 28, 2015. wapanda baiskeli wenzao 
wawili wamerudi jijini Mbeya kwa ajili ya Uzinduzi wa Albamu yao ya 
muziki kuhamasisha kuhusu mambo muhimu ya maendeleo ikiwa ni pamoja na 
kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura.
Rais
 Jakaya Mrisho Kikwete akimshukuru  na kumpongeza Kiongozi wa msafara 
Bw. Wiseman Mwakyusa Luvanda (25)  mmoja wa wapanda baiskeli wawili kati
 ya wanne waliofunga safari kwa  baiskeli kwa kilomita 830 kutoka Mbeya 
kuelekea Dar es salaam kwa madhumuni ya kumpongeza Rais jakaya Mrisho 
kikwete kwa uongozi bora ulioleta maendeleo na mabadiliko mengi katika 
miaka yake 10 ya uongozi kwenye viwanja vya Ikulu Dar es salaam Jumapili
 Juni 28, 2015. wapanda baiskeli wenzao wawili wamerudi jijini Mbeya kwa
 ajili ya Uzinduzi wa Albamu yao ya muziki kuhamasisha kuhusu mambo 
muhimu ya maendeleo ikiwa ni pamoja na kujiandikisha kwenye daftari la 
mpiga kura.
Rais
 Jakaya Mrisho Kikwete akipitia kitabu maalumu alichopewa na kiongozi wa
 msafara  Bw. Wiseman Mwakyusa Luvanda(25) mmoja wa Wapanda baiskeli 
wawili kati ya wanne waliofunga safari kwa  baiskeli kwa kilomita 830 
kutoka Mbeya kuelekea Dar es salaam kwa madhumuni ya kumpongeza Rais 
jakaya Mrisho kikwete kwa uongozi bora ulioleta maendeleo na mabadiliko 
mengi katika miaka yake 10 ya uongozi kwenye viwanja vya Ikulu Dar es 
salaam Jumapili Juni 28, 2015. wapanda baiskeli wenzao wawili wamerudi 
jijini Mbeya kwa ajili ya Uzinduzi wa Albamu yao ya muziki kuhamasisha 
kuhusu mambo muhimu ya maendeleo ikiwa ni pamoja na kujiandikisha kwenye
 daftari la mpiga kura.

 Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza  na  Bw. Wiseman Mwakyusa Luvanda(25)
 na Bw. John Mwaipyana,  Wapanda baiskeli wawili kati ya wanne 
waliofunga safari kwa  baiskeli kwa kilomita 830 kutoka Mbeya kuelekea 
Dar es salaam kwa madhumuni ya kumpongeza Rais jakaya Mrisho kikwete kwa
 uongozi bora ulioleta maendeleo na mabadiliko mengi katika miaka yake 
10 ya uongozi kwenye viwanja vya Ikulu Dar es salaam Jumapili Juni 28, 
2015. wapanda baiskeli wenzao wawili wamerudi jijini Mbeya kwa ajili ya 
Uzinduzi wa Albamu yao ya muziki kuhamasisha kuhusu mambo muhimu ya 
maendeleo ikiwa ni pamoja na kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni