Afisa
mwandikishaji msaidizi Shadrack Baruti akitoa maelezo ya uandikishaji
wa daftari la kudumu la wapiga kura kwa kutumia mfumo wa BVR kwa
viongozi wa vyama vya siasa wa Wilaya ya Babati Mjini, zoezi la
uandikishaji linatarajia kuanza rasmi tarehe 09/6/2015 hadi tarehe
09/7/2015 Mkoani Manyara.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni