RAIS KIKWETE AONGOZA MAELFU YA WAISLAMU KWENYE MAZISHI YA SHEAIKH MKUU WA TANZANIA.

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiweka ugongo kwenye Kaburi la Marehemu Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban bin Simba, aliezikwa kwenye Makaburi ya Waislam, Nguzo Nane Mkoani Shinyanga.
Masheikh kutoka sehemu mbalimbali hapa nchini wakimzika Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban bin Simba, aliezikwa lkwenye Makaburi ya Waislam, Nguzo Nane Mkoani Shinyanga.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni