Mtaalam wa maswala ya Saikolojia, Chris Mauki akiwasilisha mada iliyohusu maswala ya Saikolojia, wakati
 wa Mkutano wa tano wa Wadau Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF)
 uliomalizika leo, kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC, 
jijini Arusha.
 Mkurugenzi
 Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),Dkt. Ramadhan Dau 
akizungumza leo wakati wa kumalizika kwa Mkutano wa tano wa Wadau wa 
Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), kwenye ukumbi wa mikutano 
wa Kimataifa wa AICC, jijini Arusha.
MC wa Mkutano huo, Bi. Sauda Simba akisema chochote.
Mwenyekiti
 wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii 
(NSSF),Ndg. Aboubakar Rajab akizungumza machache kabla ya kumkaribisha 
Mgeni Rasmi, Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mh. Felix Ntibenda ili aweze kutoa hotuba ya kufunga Mkutano
 wa tano wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), kwenye
 ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC, jijini Arusha leo.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mh. Felix Ntibenda akitoa Hotuba yake wakati wa kufunga Mkutano
 wa tano wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), kwenye
 ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC, jijini Arusha leo.
Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mjini, Mh. Christopher Kangoye akifatilia mkutano huo.
























Hakuna maoni:
Chapisha Maoni