Twaha
Sultan akionyesha mpira anaotumia kwa ajili ya kujisaidia hali ambayo
inampa maumivu makali pamoja na kupata gharama kubwa ya kubadilisha
mpira kila baada ya wiki tatu.
Mama mdogo wa Sultan, Sarha akionyesha uvimbe unaomsumbua mtoto Twaha sultan.
Mwenyekiti
wa Taasisi ya Sitti Tanzania Foundation, Sitti Mtemvu akizungumza baada
ya kukabidhi msaada wa shs laki mbili kwa ajili ya kusaidia matibabu
yake.
Mwenyekiti wa Taasisi ya Sitti Tanzania Foundation, Sitti Mtemvu (kushoto),
akimkabidhi msaada wa sh. laki mbili, Sarha Magamba, jijini Dar es
Salaam jana, kwa ajili ya kusaidia matibabu ya mtoto, Twaha Sultan (17),
mkazi wa Kipawa Karakata (katikati), ambaye ana uvimbe wa kilo nne na
nusu mgongoni.Yeyote atakayeguswa na tatizo la mtoto huyo anaweza
kuwasiliana na mlezi wake kupitia namba ya simu 0713970491.
Mwenyekiti
wa Taasisi ya Sitti Tanzania Foundation, Sitti Mtemvu (kushoto),
akimkabidhi msaada wa sh. laki mbili, Sarha Magamba, jijini Dar es
Salaam jana, kwa ajili ya kusaidia matibabu ya mtoto, Twaha Sultan (17),
mkazi wa Kipawa Karakata (katikati), ambaye ana uvimbe wa kilo nne na
nusu mgongoni.Yeyote atakayeguswa na tatizo la mtoto huyo anaweza
kuwasiliana na mlezi wake kupitia namba ya simu 0713970491.
Mwenyekiti wa Taasisi ya Sitti Tanzania Foundation, Sitti Mtemvu akiwasili
nyumbani kwa mtoto Twaha Sultan Kipawa Karakata jijini Dar es Salaam
ambapo alikabidhi msaada wa fedha kwa ajili ya matibabu ya mototo huyo
anayekabiliwa na uvimbe mgongoni. Uvimbe huo unakadiliwa kufika kilo nne
na nusu na kuweza kumuathiri mtoto huyo katika masomo yake kutokana na
kushindwa kwenda shule. Yeyote atakayeguswa na tatizo la mtoto huyo anaweza kuwasiliana na mlezi wake kupitia namba ya simu 0713970491.
Mama
Mdogo wa mtoto Twaha sultan (17), Sarha Magamba mkazi wa Kipawa
Karakata akizungumza na waandishi wa habari kuhusu matatizo uvimbe wa
ajabu katika mgngo wake mtoto sultan ambaye anahitaji kufanyiwa
upasuaji.
Twaha
Sultan akionyesha mpira anaotumia kwa ajili ya kujisaidia hali ambayo
inampa maumivu makali pamoja na kupata gharama kubwa ya kubadilisha
mpira kila baada ya wiki tatu.
Mama mdogo wa Sultan, Sarha akionyesha uvimbe unaomsumbua mtoto Twaha sultan.
Mwenyekiti wa Taasisi ya Sitti Tanzania Foundation, Sitti Mtemvu.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni