Ofisi za Shirika la Nyumba la Taifa mkoani Kilimanjaro. |
Baadhi ya wafanyakazi wa NHC mkoa wa Kilimanjaro. |
Meneja wa NHC mkoa wa Kilimanjaro ,Sheakh Kombo akizungumza wakati akitoa taarifa kwa Naibu Waziri wa Ardhi ,Nyumba na Maendeleo ya Makazi. |
Naibu Waziri,Kairuki akifurahia jambo na Meneja wa NHC mkoa wa Kilimanjaro,Sheakh Kombo. |
Naibu Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi,Angela Kairuki akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakzi wa shirika la nyumba la taifa mkoa wa Kilimanjaro. |
Baadhi ya nyumba za NHC zilizoanza kufanyiwa ukarabati. |
Naibu Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi,Angela Kairuki akikagua nyumbaza NHC zinazofanyiwa ukarabati zilizoko eneo la Rau. |
Naibu Waziri Kairuki akizungumza jambo na Meneja wa NHC mkoa wa Kilimanjaro ,Sheakh Kombo. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni