Bendi ya yamoto ikiofanya mambo ndani ya ukumbi wa triple A jijini Arusha
miss Tanzania 2014 Lilian Deus akiwa anafurahia jambo na dadayake wakati walipouthuria ndani ya usiku huu
miss Tanzania 2014 akiwa anawatunza wasanii wa yamoto band wakati wakiendelea kutumbuiza
warembo wa A-Town ndani ya triple A wakiwa wamevalia vazi jeupe
kushoto ni mkurugenzi wa mwandago Investiment (Faustin Mwandago ) akiwa na Papaa Msuya
mdada
wa libeneke la kaskazini nikiwa na watakangazaji kushoto ni mtangazaji
wa mj fm kulia nikiwa na mwanaisha suleman mtangazaji wa Radio 5
huyu nathani unamjua naye alikuwepo ndani ya nyumba
katikati miss Tanzania 2014 kushoto mmoja wa waandaaji wa siku ya divas white part kulia ni dadaake mrembo huyo
katika pita pita zangu nilikutana na mwandishi wa gazeti la Mwananchi naye alikuwa anasakata rumba ndani ya triple A
mwanadada hilda kinabo naye aliuthuria huyu nae ni mtangazaji wa radio 5
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni