Diamond Platnumz au ukipenda waeza muita Rais wa wasafi alivyofanya katika siku ambayo mbunge wa monduli Edward Lowasa alivyotangaza rasmi kugombea nafasi ya urais au unaweza kuita siku ya uzinduzi wa safari ya matumaini
ilikuwa ni shida rais wa wasafi akitumbuiza pamoja na timu yake nzima
wenyeji
wa diamond ambao ni watoto kutoka A-Town wanaojulikana kwa jina la
mamongooo nao pia walikuwepo kwenye uzinduzi huo wa safari ya matumaini
wasanii mbalimbali wa A-town nao waliuthuria
kulikuwa na bwebwe mbalimbali ambopo
pia kulikuwepo na helkopta ikipita juu huku ikionyesha michezo
mbalimbali yote hii ni furaha ya uzinduzi safari ya matumaini
mwanadada
wa libeneke la kaskazini blog nilikutana pia na Babu Tale ambaye naye
aliuzuria katika uzinduzi wa safari ya matumaini
wadau mbalimbali waliuthuria katika uzinduzi huu wa safari ya matumaini
kulikuwa na ngoma mbalimbali pia kutoka katika kabila la kimasai
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni