Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akielekea kwenye ukumbi wa mkutano wa
Sandton Internationa Center unakofanyika mkutano wa wake wa Marais na
Wakuu wa Nchi za Afrika huko Johannesburg nchini Afrika Kusini tarehe
15.6.2015. Aliyefuatana na Mama Salma ni Mwenyekiti wa OAFLA anayemaliza
muda wake Mama Hinda Derby Itno.
Mke
wa Rais Mama Saloma Kikwete akiangalia moja ya machapisho mbalimbali
yanayohusiana na Mkutano wa Wake wa Marais na Wakuu wa Nchi za Afrika
(OAFLA) unaofanyika nchini Afrika Kusini.
Mke
wa Rais Mama Saloma Kikwete akiangalia moja ya machapisho mbalimbali
yanayohusiana na Mkutano wa Wake wa Marais na Wakuu wa Nchi za Afrika
(OAFLA) unaofanyika nchini Afrika Kusini.
Wake
wa Marais na Wakuu wa Nchi za Afrika wakiwa katika picha ya pamoja mara
baada ya ufunguzi wa mkutano wao wa mwaka unaozungumzia uwezeshaji kwa
wanawake na Maendeleo katika Bara hili.
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akiwa ameongozana na Mkurugenzi wa Idara ya
Afya katika Taasisi ya Wanawake na Maendeleo Dr. Sarah Maongezi
wakielekea kwenye ukumbi wa mkutano.
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akielekea kwenye ukumbi wa mkutano huku
akifuatana na Mke wa Mfalme Mswati III wa Swaziland Inkoskati Lamagongo
(katikati) na kushoto ni Msaidizi wa Mke wa Mfalme.
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akijiandaa kutoa hotuba yake ya mwisho
kwenye Mkutano wa Wake wa Marais na Wakuu wa Nchi za Afrika unaofanyika
huko Johannesburg Afrika Kusini
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akitoa hotuba yake ya mwisho kwenye kikao
cha Wake wa Marais na Wakuu wa Nchi za Afrika kinachofanyika kwenye
Ukumbi wa Sandton jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini tarehe
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akitoa hotuba yake ya mwisho kwenye kikao
cha Wake wa Marais na Wakuu wa Nchi za Afrika kinachofanyika kwenye
Ukumbi wa Sandton jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni