Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia wakati wa hafla ya uzinduzi wa ujenzi wa Mradi wa Ujenzi wa
Mki wa Avic, 'Avic Town', uliofanyika leo Juni 13, 2015 Kigamboni jijini
Dar es Salaam
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
Balozi wa China nchini Tanzania, Dkt. Lyu Youqing (kulia), Makamu wa
Rais wa 'Avc International', Dkt. Cheng Baozhong (kushoto) kwa pamoja
wakikata utepe kuzindua ramsi Mradi wa Ujenzi wa Mji wa Avoc 'Avic
Town', uliozinduliwa leo Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
Balozi wa China nchini Tanzania, Dkt. Lyu Youqing (kulia), kwa pamoja
wakifunua kitambaa kuashiria kuweka jiwe la Msingi la uzinduzi ramsi wa
Mradi wa Ujenzi wa Mji wa Avoc 'Avic Town', uliozinduliwa leo Kigamboni
jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
Balozi wa China nchini Tanzania, Dkt. Lyu Youqing (kulia), Makamu wa
Rais wa 'Avc International', Dkt. Cheng Baozhong (wa pili kushoto) kwa
pamoja wakifurahia baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa
Mji wa Avoc 'Avic Town', uliozinduliwa leo Kigamboni jijini Dar es
Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi baada ya uzinduzi
huo

akipanda mti wa kumbukumbu baada ya kuzindua ramsi Mradi wa Ujenzi wa
Mji wa Avic 'Avic Town' uliofanyika leo Juni 13, 2015, Kigamboni jijini

akiangalia mandhali ya jiko katika moja kati ya nyumba zilizojengwa
katika eneo hilo, wakati alipokuwa akitembelea nyumba hizo baada ya
uzinduzi rasmi wa Mradi wa Ujenzi wa Mji wa Avic 'Avic Town' Kigambon
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akitembelea mradi huo kukagua mara baada ya kuuzindua leo Kigamboni.

Picha na OMR
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni