WANA
BABATI NIMERUDI SALAMA KUTOKA KONDOA NI WIKI 1 NILIKUA KUNDOA HUUSANI
WILAYA YA CHEMBA KATIKA KUHAMASISHA WANANCHI KUJIANDIKISHA KTK DAFTARI
LA KUDUMU. UZOEFU UPO WA KUTOSHA HIVYO NI KIPEANA CHANGAMOTO ILI TUSONGE
MBELE KWA MABAYA YALIYO JITOKEZA VIJIJI VYA CHEMBA BABATI MARUFUKU
MUNGU BARIKI BVR ZA BABATI.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni