Wakuu wa Makampuni Makubwa ya India wakimsikiliza Rais Kikwete. Baadhi ya Makampuni hayo tayari yalishawekeza nchini Tanzania na Makampuni mengine yalionesha dhamira ya kuja kuwekeza. |
Kiongozi wa Chama cha Wafanyabiashara wa India akimkabidhi, Mhe. Rais zawadi. |
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Abdallah Kigoda (Mb) kulia akizungumza jambo na mmoja wa Wakuu wa Makampuni ya India. Mwingine kushoto ni Waziri wa Maji, Mhe. Prof. Jumanne Maghembe (Mb). |
Mkurugenzi Msaidizi katika Wizara ya Mambo ya Nje, Bw. Nathaniel Kaaya naye akiwa katika kubadilishana mawazo na wawakiishi wa India. |
Picha kwa hisani ya
Wizara ya Mambo ya Nje
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni