Baadhi ya wageni waalikwa katia hafla hiyo. |
Mkurugenzi wa Hifadhi za Taifa ,Tanzania (TANAPA) Allan Kijazi akizungumza katika hafla hiyo juu ya lengo la kuanzishwa kwa tuzo hizo kwa wanahabari nchini. |
Mgeni rasmi katika hafla hiyo,Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu akizungumza wakai wa hafla ya kukabidhi tuzo kwa washindi wa Tuzo zitolewazo na TANAPA kwa wanahabari. |
Mkuu wa Majaji walioshiriki kupatikana kwa washindi wa tuzo zitolewazo na TANAPA kwa wanahabari,Dkt Ayoub Ryoba akizungumza katika hafla hiyo. |
Dkt Ryoba akitambulisha majaji wenzake walioshiriki katika kupata washindi. |
Mgeni Rasmi katika hafla hiyo,Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu akitoa ,Ngao,Vyeti pamoja na mfano wa Hundi kwa washindi wa tuzo za TANAPA 2014 zitolewazo kwa wanahabari. |
Mkuu wa Majeshi Mstaafu,Meja Jenerali ,Mirisho Sarakikya akizungumza katika hafla hiyo zaii akizungumzia historia ya namna alivyoshiriki zoezi la kupanda Mlima Kilimanjaro zaidi ya mara 38. |
Mgeni Rasmi katika Hafla hiyo,Lazaro Nyalandu ,akitunuku tuzo kwa Meja Jenerali,Mirisho Sarakikya pamoja na kitambulisho maalumu ambacho kitamuwezesha kuingia bila malipo katika hifadhi 16 za Taifa. |
Meja Jenerali ,Sarakikya akifurahia zawadi hiyo iliyotolewa na TANAPA. |
Mwandishi wa Habari wa Channel ten Cassius Mdami akizungumza kwa niaba ya washindi wa tuzo hizo. |
Mgeni rasmi ,Lazaro Nyalandu akiwa katika picha ya pamoja na washindi. |
Mgeni rasmi ,Lazaro Nyalandu akiwa katika picha ya pamoja na wahariri katika vyombo mbalimbali vya habari. |
Mgeni rasmi ,Lazaro Nyalandu akiwa katika picha ya pamoja na waandishi wa habari walioshiriki katika hafla hiyo. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni