Baadhi ya Wananchi mbalimbali
wakifuatilia kikao cha Bajet cha Baraza la Wawakilishi kinachoendelea
huko Mbweni nje ya mji wa Zanzibar.
Waziri wa Ardhi Makaazi Maji na
Nishati Ramadhan Abdalla Shaabani katikati mwenye kofia akiwa na Naibu
wake Haji Mwadini Makame wakipongezwa na baadhi ya wajumbe wa Baraza la
Wawakilishi baada ya kupita kwa Bajeti ya Wizara yake nje ya Ukumbi wa
Baraza la Wawakilishi Mbweni nje ya mji wa Zanzibar.
Waziri wa Ardhi Makaazi Maji na
Nishati Ramadhan Abdalla Shaabani Kulia akipewa mkono wa pongezi na
Mwakilishi wa Kikwajuni Mahmoud Mohammed Mussa baada ya kupita kwa
bajeti ya Wizara yake nje ya Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Mbweni Nje
ya mji wa Zanzibar.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni