Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu,
Sera, Uratibu na Bunge, Jenista Mhagama, bungeni mjini Dodoma Juni 5,
2015.
Waziri
wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe akiwasilisha makadirio ya Matumizi ya
Wizara hiyo ya mwaka 2015/2016, Bungeni mjini Dodoma Juni 5, 2015.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, Bungeni mjini Dodoma Juni 5, 2015.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Ilala na Mwenyekiti wa
Bunge, Mussa Azan Zungu, Bungeni mjini Dodoma Juni 5,2015.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na madiwani kutoka
Halmashauri ya Wiaya ya Mlele kwenye viwanja vya Bunge mji Dodoma Juni
15, 2015.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Wabunge wa Viti Maalum, Anna
Abdallah (katikati) na Esthe Bulaya kwenye viwanja vya Bunge mjini
Dodoma Juni 5,2015.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Naibu Waziri wa Afya, Dkt Kebwe kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Juni 5, 2015.
Waziri
Mkuu,Mizengo Pinda akisalimiana na wanakwaya wa kwayaya Imani ya Kanisa
Kuu la KKKT Mwanza waliotembelea Bunge Juni 5,2015. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu).
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni