Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la
Mtama, Bernard Membe (katikati) akilakiwa na wanachama wa Chama Cha
Mapinduzi (CCM), waliofika kumpokea nje ya Ofisi ya CCM Mkoa wa Ruvuma
iliyopo mjini Songea jana, baada ya kuwasili mkoani humo kwa ajili ya
kutafuta wadhamini watakaotia saini fomu zake za kuwania urais katika
uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata
wadhamini zaidi ya 5,000.
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la
Mtama, Bernard Membe akiwapungua mkono wanachama wa Chama Cha Mapinduzi
(CCM) na wananchi, waliofurika nje ya Ofisi ya CCM Mkoa wa Ruvuma
iliyopo mjini Songea jana, baada ya kuwasili mkoani humo kwa ajili ya
kutafuta wadhamini watakaotia saini fomu zake za kuwania urais katika
uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata
wadhamini zaidi ya 5,000.
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la
Mtama, Bernard Membe (kushoto) akilakiwa na wanachama wa Chama Cha
Mapinduzi (CCM) na vijana, waliofika kumpokea katika Uwanja wa Ndege wa
mjini Songea jana, baada ya kuwasili mkoani Ruvuma kwa ajili ya kutafuta
wadhamini watakaotia saini fomu zake za kuwania urais katika uchaguzi
mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini
zaidi ya 5,000. Picha zote na John Badi
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la
Mtama, Bernard Membe (kushoto) akisoma moja ya mabango yenye ujumbe
mbalimbali yaliyobebwa na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na
vijana, waliofika kumpokea katika Uwanja wa Ndege wa mjini Songea jana,
baada ya kuwasili mkoani Ruvuma kwa ajili ya kutafuta wadhamini
watakaotia saini fomu zake za kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao
kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya
5,000.
Mwenyekiti
wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Ruvuma, Odo Mwisho akimkabidhi
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la
Mtama, Bernard Membe, fomu zilizotiwa saini na wanachama wa CCM mkoani
humo, waliofika kwenye Ofisi hizo jana, kwa ajili ya kumdhamini ili
ateuliwe kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama
hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 5,000.
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la
Mtama, Bernard Membe, akizihakiki fomu zilizotiwa saini na wanachama wa
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Ruvuma, kwa ajili ya kumdhamini ili
ateuliwe kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama
hicho, baada ya kukabidhiwa na Mwenyekiti wa CCM wa mkoa huo, Odo Mwisho
(wa pili kulia), katika Ofisi za chama hicho mjini Songea jana, ambapo
aliweza kupata wadhamini zaidi ya 5,000.
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la
Mtama, Bernard Membe akizungumza na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi
(CCM) wa Mkoa wa Ruvuma, waliofika kwenye Ofisi ya CCM zilizopo mjini
Songea jana, kwa ajili ya kutia saini fomu za kumdhamini ili ateuliwe
kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho,
ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 5,000.
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la
Mtama, Bernard Membe (watatu kushoto), akipongezwa na wanachama wa Chama
Cha Mapinduzi (CCM) wa Mkoa wa Ruvuma, waliofika kwenye Ofisi ya CCM
zilizopo mjini Songea jana, kwa ajili ya kutia saini fomu za kumdhamini
ili ateuliwe kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama
hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 5,000. Wa pili
(kushoto) ni Mkewe, Mama Dorcas Membe.
Wazee
wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Ruvuma, wakimuembea dua maalum
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la
Mtama, Bernard Membe (kushoto), kwa ajili ya kumtakia kheri katika
safari yake ya kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika
uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), baada ya
kupata wadhamini kutoka mkoa huo jana. Wa pili (kushoto) ni Mkewe, Mama
Dorcas Membe.
John Badi
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni