Wanafamilia ya marehemu wakiwa kwenye shughuli hiyo
Sehemu ya umati wa watu katika shughuli hiyo.
Mwakilishi wa wanafunzi waliosoma na
marehemu Shule ya Sekondari ya Majengo, Joachim Mushi akizungumza kabla
ya kutoa rambirambi yao ya sh.500,000.
Viongozi wa serikali na vyama vya siasa wakiwa kwenye shughuli hiyo. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda.
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul
Makonda akizungumza katika uagaji wa mwili wa marehemu ambapo alipigania
waajiri wa vyombo vya habari kutoa mikataba ya ajira kwa wanahabari.
Mwenyekiti wa Umoja
wa Wamiliki wa Vyombo vya Habari Tanzania (MOAT), Regnald Mengi
akimfariji Mkurugenzi wa Kampuni ya Mwanahalisi, Said Kubenea alikuwa
akifanyakazi marehemu Edson Kamukara.
Ni vilio tu kwa wanahabari.
Shughuli ya uagaji ikiendelea.
Dada ya marehemu Edson Kamukara akitoa heshima za mwisho.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni