![]() |
| Daraja linalotenganisha vijiji vya Singa na Sungu wilaya ya Moshi vijijini ambalo kwa sasa limekuwa msaada mkubwa kwa wakazi wa maeneo hayo kufika kwa urahisi katika hosptali ya Kibosho. |
![]() |
| Katibu tawala wa mkoa wa Kilimanjaro,Remida Ibrahim akizungumza katika hafla fupi ya makabidhiano ya mradi huo pamoja na kufanya utambulisho kwa viongozi. |
![]() |
| Mhifadhi mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro(KINAPA) Erastus Rufunguro akizungumza katika makabidhiano hayo. |
![]() |
| Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Leonidas Gama akikata utepe katika daraja hilo kuashiria uzinduzi rasmi wa daraja. |
![]() |









Hakuna maoni:
Chapisha Maoni