Katibu
Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Dkt.Florens Turuka (wa kwanza kushoto)
akisalimiana na Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu
Ofisi ya Waziri Mkuu Bw.Issa Nchansi alipokuwa akiwasili katika Viwanja
wa Baraza la Maaskofu Kusarani wakati wa mafunzo kuhusu Menejimenti ya
Maafa kwa wafanyakazi wa Ofisi hiyo, Juni 4, 2015.
Mkurugenzi
wa Idara ya Uratibu wa Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Brig.Jen, Mbazi Msuya
akieleza jambo kwa washiriki wa mafunzo ya kuhusu Menejimenti ya Maafa
katika Ukumbi wa Baraza la Maaskofu Dar es Salaam, Juni 4, 2015.
Baadhi
ya Wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakifanya zoezi la kuzima moto
baada ya mafunzo ya kujiandaa na kukabiliana na dharura ya moto Juni 4,
2015 katika Ukumbi wa Baraza la Maaskofu Dar es Salaam.
Baadhi
ya Wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakimsikiliza Mwezeshaji wa mada
ya Menejimenti ya Maafa Bi. Naima Mrisho (hayupo pichani) wakati wa
mafunzo yaliyoratibiwa na Idara Uratibu wa Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu
katika Ukumbi wa Baraza la Maaskofu Kurasini, Dar ea Salaam Juni 4,
2015.
Katibu
Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Dkt.Florens Turuka (wa kwanza kulia) akiteta
jambo viongozi wa Ofisi hiyo, wa kwanza kushoto ni Mkurugenza wa Utawala
na Usimamizi wa Rasiliamiliwatu wa Ofisi ya Waziri Mkuu Bw.Issa Nchansi
na katikati ni Mkurugenzi wa Idara ya Uratibu wa Maafa Ofisi ya Waziri
Mkuu, Brig. Jen, Mbazi Msuya mara baada ya kutoka nje ya ukumbi wa
Baraza la Maaskofu Dar es Salaam Juni 4, 2015.
Baadhi
ya Wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakimsikiiza Mkufunzi wa masuala
ya kujikinga na dharura ya moto kutoka Chuo cha Zima moto Bw. Rajabu
Mwangalamo wakati wa Mafunzo ya Menejimenti ya Maafa yaliyofanyika
Baraza la Maaskofu Kurasini Dar es Salaam Juni 4, 2015.
Baadhi
ya Wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakifanya zoezi la kuzima moto
baada ya mafunzo ya kujiandaa na kukabiliana na dharura ya moto Juni 4,
2015 katika Ukumbi wa Baraza la Maaskofu Dar es Salaam. (Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni