Mkuua wa mkoa wa Arusha Daudi Felix Ntibenda akitazama Kontena
lililozombwa na mafuriko kutoka ng`ambo ya barabara hadi katikati ya
barabara jana katika eneo la Ngaramtoni kufuatia mvua zilizonyesha juzi
na kusababisha madhara ikiwemonyumba kuharibiwa na mifugo kufa.Picha na
Ferdinand Shayo |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni