Kiongozi wa wafanyakazi wa kike katika Mamlaka ya Maji safi na usafi wa mazingira mjini Moshi Aiseta Masawe akitoa neno la ukaribisho katika hafla fupi ya kumpongeza mkurugenzi mpya. |
Baadhi ya wafanyakazi wa kike wa Mamlaka ya Maji safi na usafi wa Mazingira mjini Moshi |(MUWSA) wakiwa katika ukumbi wa Bodi ya Mamlaka hiyo wakimpongeza mkurugenzi mpya wa Mamlaka hiyo. |
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na usafi wa Mazingira mjini Moshi,|(MUWSA) Joyce Msiru akiwashukuru wafanyakazi wanawake kwa pongezi walizotoa kwake. |
Baadhi ya wafanyakazi wa kike wa Mamlaka ya Maji safi na usafi wa Mazingira mjini Moshi |(MUWSA). |
Mmoja wa wafanyakazi wa Kike katika mamlaka hiyo ,Recho Sagati akitoa neno kwa Mkurugenzi mpya wa MUWSA. |
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na usafi wa Mazingira mjini Moshi,|(MUWSA) Joyce Msiru akiwasikiliza kina mama hao. |
Mmoja wa wanawake hao blenda Kempson akisoma neno mbele ya mkurugenzi huyo kutoka katika Biblia kama mwongozo katika uongozi wake. |
akimkabidhi Mkurugenzi wa Mamlaka hiyo zawadi ya Biblia . |
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na usafi wa Mazingira mjini Moshi,Joyce Msiru akifurahia zawadi ya kadi na Biblia aliyopewa na wafanyakazi wa kike katika mamlaka hiyo. |
Wafanyakazi wakigonga Cheers na Mkurugenzi wao . |
Mmoja wa wanawake katika mamlaka hiyo ,Mwandani Mtonyi akitoa neno la shukrani. |
Wanawake hao wakakabidhi pia zawadi ya Kitenge. Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni