Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimuelekeza jambo Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB
Dkt. Tonia Kandiero Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB Dkt. Tonia
Kandiero Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na Balozi wa Rwanda hapa nchini Eugene Kayihura aliyefika Ikulu kwa
ajili ya mazungumzo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
Balozi wa Rwanda hapa nchini Eugene Kayihura aliyefika Ikulu kwa ajili
ya mazungumzo. Picha zote na IKULU
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimkaribisha Maalim Seif Sharif Hamad ,Makamu wa Kwanza wa Rais wa
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Ikulu jijini Dar es Salaam na kufanya
Mazungumzo kuhusu hali ya kisiasa ya Zanzibar. Katika Mazungumzo hayo
viongozi wote wamefurahishwa na hali ya usalama na utulivu inayoendelea.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na Maalim Seif Sharif Hamad ,Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya
Mapinduzi ya Zanzibar Ikulu jijini Dar es Salaam.Rais amemshukuru
Maalim Seif na amemsihi waendelee na mazungumzo hadi suluhisho la
muufaka lipatikane.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
Maalim Seif Sharif Hamad ,Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya
Mapinduzi ya Zanzibar Ikulu jijini Dar es Salaam, wakwanza kushoto ni
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu
Hassan.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika picha na Maalim Seif Sharif Hamad ,Makamu wa Kwanza wa Rais wa
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar pamoja na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB Dkt. Tonia
Kandiero Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni