![]() |
| Mkuu wa wilaya ya Moshi,Novatus Makunga alipofanya kikao na viongozi wa hosptali ya rufaa ya KCMC ya mkoani Kilimanjaro. |
![]() |
| Baadhi ya wakuu wa idara waliongozana na mkuu wa wilaya ya Moshi,Novatus Makunga alipofanya ziara katika hospali hiyo. |
![]() |
| Baadhi ya wakuu wa itengo katika hosptali ya KCMC. |
![]() |
| Mkuu wa wilaya ya Moshi,Novatus Makunga akiwa katika kitengo cha macho alipofanya ziara katika Hosptali ya Rufaa ya KCMC. |
![]() |
| dc Makunga akitoka kitengo cha Macho akiongozana na Mkurugenzi mkuu wa Hosptali ya Rufaa ya KCMC ,Dkt Giliard Masenga . |
![]() |
| DC Makunga akipita katika wodi mbalimbali hosptalini hapo. |
![]() |
| Dk Bingwa wa magonjwa ya figo,Dkt Kilonzo akitoa maelezo kwa mkuu wa wilaya ya Moshi ,Novatus Makunga alipotembelea hosptali hiyo. |
![]() |
| Mkuu wa wilaya akizunumza jambo mara baada ya kutembelea chumba chenye mashine ya CT -Scan katika hosptali hiyo,kulia ni mkuu wa kitengo hicho Dkt Fatma. |
![]() |
| Mwangalizi wa sehemu ya kuhifadhia maiti katika hosptali ya rufaa ya KCMC,Bwana Issa akitoa maelezo kwa Dc Makunga (hayupo pichani ) alipotemblea chumba hicho. |





















Hakuna maoni:
Chapisha Maoni