Moto katika mji wa Sao Paulo Jijini
Brazil umeharibu sehemu ya historia ya karne ya kituo cha reli cha 19
katika jengo hilo lenye makumbusho maarufu.
Eneo la makumbusho hayo, ambayo
yananyaraka za historia ya lugha ya kireno, limeharibiwa vibaya na
moto.
Moto huo umeharibu paa la kituo
hicho cha reli, ambalo lilijengwa na Waingereza katika miaka ya
ukoloni.
Eneo la juu la jengo hilo lililoungua linavyoonekana baada ya moto kudhibitiwa
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni