Mrajisi wa Vyama vya Michezo Zanzibar 
akimkabidhi Kombe la Ubingwa wa Michuano ya Muungano Kepteni wa Timu ya 
Uhamiaji Sofia Komba Baada ya Timu yao kulinyakuwa Kombe hilo Mwaka huu 
katika Uwanja wa Gmykhana Zanzibar kwa kuifunga Timu ya JKU ya Zanzibar 
kwa mabao 38---25 
 
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni