Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akikabidhiwa zawadi ya shati la asili la Wamwera
na Mzee Saidi Issa Hanga katika mkutano wa hadhara aliouhutubia mjini
Ruangwa Desemba 20, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majliwa na Mkewe Mary wakisalimiana na wazee wa Ruangwa
kabla ya mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Waziri Mkuu mjini Ruangwa
Desemba 20, 2015. (PIcha na Ofisi ysa Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akionyesha na kufurahia silaha za asili
alizokabidhiwa na wazee wa Ruangwa kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara
mjini hapo Desemba 20, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa alipokea zawadi ya rungu kutoka kwa Mzee Issa
Juma Nangalapa ikiwa ni ishashara ya kumtaka awaadhibu wotw wanaokiuka
sheria. Alikuwa katika mkutano wa hadhara aliouhutubia mjini Ruangwa
Desemba 20, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahia moja kati ya zana na silaha za asili
alizokabidhiwa na wazee wa Ruangwa kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara
mjini hapo Desemba 20, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni