Maelfu ya waandamanaji wameandamana
nchini Afrika Kusini kushinikiza rais Jacob Zuma kuondoka madarakani.
Maandamano hayo yanatokana na hatua
ya rais Zuma kuwafukuza kazi mawaziri wa fedha wawili wiki iliyopita,
na kuathiri mno uchumi wa taifa hilo.
Hali hiyo imekuja huku kukiwa na
madai ya kusambaa kwa rushwa nchini Afrika Kusini, maandamano ya hivi
karibuni ya wanafunzi pamoja na vita vya madaraka kwenye chama chake
cha ANC.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni