Bondia aliyestaafu ngumi bila
kupigwa Floyd Mayweather ambaye amekuwa haishi kuonyesha tambo za
fedha alizochuma, amepiga picha akiwa amelala juu ya dola.
Mayweather katika picha hiyo
aliyoiposti kwenye Instagram anaonekana akiwa amezingirwa na
wasichana wanaookota fedha, huku akiwa amevaa headphone akisikiliza
muziki.
Mayweather akiwa na mikanda aliyotwaa katika mapambano 49 bila kuigwa
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni