Mchezaji
wa Timu ya JKU Rose Israel (WA) na Uhamiaji Sofia Komba (C) wakiwania
mpira wakasti wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Muungano iliofanyika katika
uwanja wa Gmykhana Zanzibar Timu ya Uhamiaji imeshinda kwa mabao 38--25.
Mchezaji
wa Timu ya JKU Dawa Haji (GA) akijiandaa kudaka mpira huku mlizi wa
Timu ya Uhaniaji Kachilika Joana (GD) akijiandaa kumzuiya katika mchezo
huo.Timu ya Uhamiaji imeshinda 38--25
Wachezaji wa Timu ya Uhamiaji Skozi Jackline (WA) na JKU Ashura Ramadhani (WD)
Mchezaji
wa Timu ya Uhamiaji Mary Banya (GS) akijiandaa kufunga wakati wa mchezo
wao na Timu ya JKU uliofanyika uwanja wa Gmykhana Zanzibar.
Wapenzi
wa mchezo wa Netiboli Zanzibar wakifuatilia mchezo huo wa Ligi Kuu ya
Muungano kati ya Uhamiaji na JKU uliofanyika uwanja wa Gmykhana
Zanzibar.
Mchezaji
wa Timu ya Uhamiaji Restuta Boniface (WD) akiwa hewani akidaka mpira
wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Kombe la Muungano uliofanyika Uwanja
wa Gmykhana Zanzibar
Mchezaji
wa Timu ya Uhamiaji Skozi Jackline (WA) akiwa hewani akidaka mpira
wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Kombe la Muungano uliofanyika Uwanja
wa Gmykhana Zanzibar
Wachezaji wa Timu ya Uhamiaji na JKU wakiwa katika goli la JKU
weakiushindikiza mpira golini kuandika bao kwa timu ya Uhamiaji.
Wachezaji
wa Timu ya Uhamiaji wakishangilia Ushindi wao dhidi ya Timu ya JKU
ukiwa ni mchezo wa mwishi kukamilisha Ligi Kuu ya Muungani iliofanyika
Uwanja wa Gmykhana Zanzibar kwa kupata ushindi wa mabao 38--25.
Wachezaji
wa Timu ya Uhamiaji wakishangilia Ushindi wao dhidi ya Timu ya JKU
ukiwa ni mchezo wa mwishi kukamilisha Ligi Kuu ya Muungani iliofanyika
Uwanja wa Gmykhana Zanzibar kwa kupata ushindi wa mabao 38--25.
Kocha
Mkuu wa Timu ya Uhamiaji akizungumza na Waandishi wa habari baada ya
kumalizika mchezo wao na Timu ya JKU ya Zanzibar ya kukamilisha Ligi Kuu
ya Muungano Mchezo wa Netiboli uliofanyika Uwanja wa Gmykhana Timu ya
Uhamiaji imeshida kwa 38--25
Imetayarishwa na Othmanmapara.Blogspot.
Zanzinews.com, .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni